Nyumba Ya Vyumba 2 Inauzwa Kiwangwaa
1 year ago
TZS 8,000,000
Pwani, Kiwangwa
Real Estate
1
2
Negotiable
640
nyumba inauzwa inavyumba viwili na sebre inachoo cha nje na inauwanja wa kujenga nyumba nyengine na ipo mazingira mazuri ya mtaa na ipo umbali wa mita 500 kutoka main load ya bagamoyo msata