Nyumba Yenye Vyumba Vitatu Inauzwa Ipo Msasani
1 year ago
TZS 300,000,000
Dar, Msasani
Real Estate
3
1
Fixed
388
TSHS MIL 300,# APARTMENT ZINAUZWA #ZIKO -DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI- MSASANI
_____________________
UKUBWA WA ENEO LAKE SQM 311
__________________
NYARAKA ZA UMILIKI HATI MKONONI
________________
____________
YA FAMILIA KUBWA
_________
APARTMENT FOR SALE
___________
YENYE;-
Vyumba Vitatu vya kulala Vitatu ni Master, Sebule, Dinning Jiko, Choo/Bafu vya public Ac Ac
Gypsum Tiles Slides Windows
Umeme x Maji vyote vipo
Cars Parking space ipo
Nje Pavingblocks
Fencedhouse
_________
NYUMBA YA PILI INA VYUMBA 2
____
#NB;-NYUMBA NZURI SANA KWA FAMILIA YAKO MTAA MZURI HAINA MGOGORO, KESI, SIO YA URITHI MWENYEWE MZIMA WA AFYA TUNAPUMUA NAYE HAYUPO ICU NI KUNUNUA NAKUHAMIA HAPO HAPO WAZUNGU WANASEMA IMMEDIATELY! 🤔
____
BEI INAUZWA TSHS MIL 300
Maongezi yapo