Nyumba Yenye Vyumba Vitatu Inauzwa Milioni 120 Maongezi Yapo Ipo Vikindu
11 months ago
TZS 120,000,000
Dar, Kinondoni
Real Estate
New Building
Sale
3
10+
NYUMBA YENYE VYUMBA VITATU INAUZWA MILIONI 120 MAONGEZI YAPO IPO VIKINDU
1000 ㎡
None
Fixed
151
Hiyo nyumba ipo vikindu wilaya ya mkuranga imekamlika kila kitu uwanja una SQMT 1000 umbali kutoka barabara kubwa ya lami ni kilo mita moja tu ni mwendo wa dakika 20 kama nyuma inavyoonekana mpaka sehemu ya kufuga kuku na samaki garden na sehemu ya wazi kubwa iliyobaki amelima migomba mihogo inauzwa milion 120 maongezi yapo ipo ful A/C Ina vyumba vitatu vya kulala vyumba vyote ni Master public toilet jiko zuli la kisasa dining sebule ...NK........π₯ Nyumba ni nzuli sana na niya kisasa Sana..NK..............
#Cal
#****-***-*** au what's up ππ
Asanteni na kalibuni SanaππΎβοΈπ