Original Usb Flash Drive From Japan
2021
TZS 18,000
2 years ago
Dar, Makumbusho
Electronics
New
Fixed
504
Hakuna kupigwa tena.Usiuziwe flash zije zikufie baada ya muda mfupi tu na vitu vyako muhimu.
Usiuziwe flash kwa bei ambayo haifanani na thamani halizi ya ujazo wa flash hiyo.
Tunakupa flash original kwa bei ya 'tupate wote', sisi tupate lakini ni wewe upate thamani kwenye flash yako.
Tunakuletea popote ulipo Dar es Salaam, na mikoani tunatuma.