Amcolon
TZS 20,000
9 months ago
Dar, Kisutu
Food & Agriculture
Negotiable
297
★AMCOLON (N:P:K) 24:24:18+ 1.5Mg0+TE
Ni mbolea ya majani iliyo na virutubisho muhimu kwa ukuaji wa mimea.
Virutubisho hivi muhimu ni pamoja na:
●NITROGEN (24%N): Husaidia katika ustawishaji wa mimea
●PHOSPHOROUS (24%P): Husaidia kuongeza miziz mipya na iliyo imara
●POTASSIUM (18%K): Husaidia kuongeza maua na kuboresha matunda
AMCOLON :- pia ina virutubisho vingine muhimu kama vile Boron, Manganese, Iron, Copper, Zinc, na Molybdenum ambavyo ni muhimu kwa ukuaji na uzalishaji wa mimea.
N;B
AMCOLON inaweza kutumika katika hatua zote za ukuaji wa mmea.
KARIBUNI SANA