Balstar
TZS 40,000
9 months ago
Dar, Kisutu
Food & Agriculture
Negotiable
255
BALSTAR
»Ni kiuadudu chenye uwezo wa kupenya na kusambaza sumu ndani ya mbao /Udongo
BalStar :- Inawigo mpana wa kudhibit wadudu jamii ya mchwa kwenye mijengo / viwanda vya ujenzi / Mbao
★WADUDU WAUAO
BalStar huua wadudu
:-Chawa Wa Mbao :-Mchwa
:-Mende :-Kunguni n.k
N:B
BalStar huangamiza mchwa wa majumbani / mashambani / kwenye mbao na maeneo yote yaliyoathiriwa na mchwa
★UJAZO WA BALSTAR
BALSTAR inapatikana kwa ujazo wa
:-500mls..
KARIBUNI SANA