Sukari F1
TZS 200,000
9 months ago
Dar, Kisutu
Food & Agriculture
Negotiable
304
SUKARI F1
Ni tikiti maji bora lenye mavuno mengi
SIFA
»Tikiti maji linalopendwa sana sokoni na tunda lake tamu na lenye rangi nyekundu
»Tikiti lake lina uzito wa kilo 10 - 12 na lina radha tamu
»hukomaa kwa siku 90 toka kupandikizwa
»Hutoa matunda ya umbo la yai yenye rangi ya pundamilia kwenye ganda la nje
»Ina nyuzinyuzi iayoipatia sifa ya kusafirishwa umbali mre na kukaa bila kuharibika
USTAHIMILIVU
Sukari hustahimili magonjwa aina
»Fusarium
»Virus (Ukomavu)
WASTANI KWA HEKA
500gm
60cm x 2.5-3mt