Fighter
TZS 30,000
9 months ago
Dar, Kisutu
Food & Agriculture
Negotiable
241
FIGHTER
»Kiuagugu chambuzi kinachodhibiti magugu kila mwaka ya majani mapana na nyasi za kila mwaka
Fighter :- Ina viambata vitatu thabit kwa ajili ya kupambana na aina mbalimbali za magugu inatumika baada ya magugu kuota kwenye mahindi
N;B
Baada ya kutumia majani ya mahindi yanaweza kubadilika rangi na kuwa meupe au kufifia rangi ila hii ni dalili ya muda mfupi tu na haina madhara kwenye mavuno na ubora wa mazao
MATUMIZI YA FIGHTER
:-Mils 200 kwa Lita 20
KARIBUNI SANA