Chokaa Ya Mazao
TZS 40,000
10 months ago
Dar, Kisutu
Food & Agriculture
Negotiable
258
★CHOKAA MAZAO
Ni madini yanayowekwa ardhin ambayo hutumika katika kilimo
FAIDA ZAKE
•Ina rekebisha pH ya udongo
•Ina ongeza kiwango cha alkali kama udongo una asidi saan
•Inaongeza virutubisho kama calcium na inaboresha utoaji wa virutubisho
•Inazuia sumu ya aluminium kwenye udongo
KARIBUNI SANA