Gym Protein Supplement
TZS 130,000
1 year ago
Dar, Kijitonyama
Food & Agriculture
Negotiable
274
*#GYMPROTEIN POWDER ZA KUJENGA,KUJAZA NA KUKATA MWILI🔥💪🏻*
•• Gym, Protein Supplements 128••VS #Vifaavyamazoezi
Ni wataalamu na, wauzaji Wa Gym Protein Supplements Za Kuimarisha, Kuongeza na Kujenga Misuli ndani ya muda mfupi sana. Bila kusahau za Kupunguza Mwili...zipo #Fatbuner
Ambazo ni:👇🏼
•🔅 Mass Tech Extreme.
Hii inaongeza Size ya Mwili na inajenga misuli ina Wingi wa Protein&callories...
1KG Dose, Seald &New Tsh,130,000/=
2.74KG Dose, Seald&New Tsh, 205,000/=
3.18KG Dose, Seald&New Tsh, 230,000/=
•🔅 Russian Bear (A.k.a The home of hardcore Suppliment since, 1990)
•Dunia nzima wanaitumia hii
• Inafanya misuli yako kuwa Imara na Kukuwa,kwa haraka zaidi
•inawingi wa, Callories &Protein
1KG, Dose Seald&New ni Tsh130,000/=
5.44KG, Seald&New ni Tsh, 295,000/=
•🔅Serious Mass.
• Hii inaongeza Uzito wa Mwili na kukufanya uwe Imara Zaidi
1KG,Dose Seald&New,ni Tsh130,000/=
2.27KG,Dose Seald&New ni Tsh, 275,000/=
•🔅Gold Standard Whey.
•Inapunguza shinikizo la damu (blood pressure)
•Inapunguza uzito, Kitambi na Tumbo.
•Inapunguza njaa.
•Inaimarisha misuli na
•Ni chazo kikubwa cha Protein
1KG, Dose, Seald&New 165,000/=
2.75KG Dose,Seald&New 280,000/=
U.S.N, 2KG, Seald&New 220,000Tsh/=
•🔅Hdroxcut/Lipo6,Black/C.L.A.
ni vidonge Vya kubadilisha Soft tishu, kuwa hard tishu.
•Vinapunguza Tumbo na kitambi,/Manyama uzembe.
•Vinachoma na kuyayusha mafuta •Vinapunguza uzito, na •Vinaondoa mafuta machafu mwilini.
Seald&New Full Dose.150,000/= kwa vidonge 125.
•🔅Aminohardcore Geiner.
Ni vidonge. vya kujaza na kukatia mwili/Muonekano wa kimazoezi.
•Vinaongeza nguvu, •Vinasaidia tishu za misuli,
•Vinaongeza misuli, •Vinakupa uimara wa mwili pia kupunguza kitambi na Tumbo, na
•Pia vinaongeza mood na kuufanya ubongo ufanye kazi vizuri
Seald&New, ni Tsh, 195,000/= kwa vidonge 325.
•🔅NOTE: MASS GAINER,
Zina mchanganyiko wa
•Protein, callories &•Carbohydrates na •Fat za Kutosha
•Zimekuwa msaada mkubwa sana kwa watu wa, Jinsia zoote,
•Zinaongeza calories, zina jenga misuli, na Mwili, kwa Haraka zaidi.pia, zinaongeza nguvu ya kufanya mazoezi.
Tunazo Protein nyingi na Aina Tofauti👇
Call us, đź“ž#****-***-***
#GPSTz #GPSTz #GPS #gps