Amadime
TZS 20,000
1 year ago
Dar, Kisutu
Food & Agriculture
New
Negotiable
271
★AMADIME
»Ni kiuadudu chenye wigo mpana kinachofanya kazi kimfumo ambacho huua wadudu kwa mguso na katika matumbo ya wadudu
AmaDime :- huua mayai ya wadudu,huua kwa haraka na Sumu hubaki kwa mda mrefu
WADUDU WAUAO
»AmaDime hudhibit wadudu :-
:-Wanaotoboa :-wadudu fyonza
:-watafunao :-Mafuta :-nzi weupe
:-viwavi :-vithiripi :-panzi wa majani
:-vitumba wa mashina :-n.k
★★★★★★
KARIBUNI SANA