Bengold
TZS 12,000
2 years ago
Dar, Kisutu
Food & Agriculture
New
Negotiable
1044
★BENGOLD
»Ni kiua kuvu chenye wigo mpana kinachofanya kazi kwa njia ya mguso kudhibit magonjwa ya kuvu
BenGold :- Ni kiua Kuvu chenye mchanganyiko wa viambata viwili ambavyo hutumika kukinga na kuponya kuvu kwenye mimea
★MAGONJWA
BenGold hukinga / kuponya magonjwa yafuatayo
:-Bakajani wahi... :-ubwiriUnga
:-Anthracnose... :-citrus scab / cancer .. n.k
★UJAZO WA BENGOLD
BenGold inapatikana kwa ujazo wa
:-200gm... :-500gm... 1kg
KARIBUNI SANA
KARIBU KWA MAHITAJI YA PEMBEJEO ZA KILIMO NA HUDUMA ZA FARMIGATION
TUNAUZA
♣Sumu za kuua wadudu mashambani na majumbani
♣Sumu za farmigation
♣Dawa za kutibu na kuzuia ukunguu
♣ Mbolea aina zote kwa virutubisho vya mimea
♣Mbegu aina zote & vifaa vya kilimo
KWA USHAUR WA KILIMO / MADAWA / FARMIGATION
TUWASILIANE KWA NAMBA
#****-***-*** whatsapp
#****-***-*** call / sms
♦free delivery kwa dar es salaam
♦Mikoani tunatuma kwa usalama na uhakika