Innovex
TZS 52,000
1 year ago
Dar, Kisutu
Food & Agriculture
New
Negotiable
362
INNOVEX
»Ni kiua kuvu kienezi cha kuangamiza na kutibu magonjwa ya kuvu kwenye mazao
»Ni mchanganyiko wenye dawa mbili za kuvu zinazopenya ndani ya mmea kuangamiza magonjwa mbalimabali ya kuvu
»Triadimefon ni dawa ya jamii ya triazole yenye wigo mpana wa kuzuia..kutibu na kuondoa magonjwa ya kuvu ktk mazao pia hutibu kwa mvuke wake
»Carbendazim ni dawa yenye wigo mpana inayopenya ndani na kuangamiza magonjwa ya kuvu
★MAGONJWA
Innovex hukinga na kuzuia magonjwa yafuatayo
:-UbwiriUnga... :-kutu ya majani...
:-BakajaniZote... :-Madoa ya Majani na Matunda... :-KuozaMizizi...
:-KataKiuno... :-Mnyauko
★UJAZO WA INNOVEX
Innovex inapatikana kwa ujazo wa
:-100mls... :-500mls... :-1ltr
KARIBUNI SANA
KARIBU KWA MAHITAJI YA PEMBEJEO ZA KILIMO NA HUDUMA ZA FARMIGATION
TUNAUZA
♣Sumu za kuua wadudu mashambani na majumbani
♣Sumu za farmigation
♣Dawa za kutibu na kuzuia ukunguu
♣ Mbolea aina zote kwa virutubisho vya mimea
♣Mbegu aina zote & vifaa vya kilimo
SASA INAPATIKANA KWA JUMLA NA REJAREJA
KWA USHAUR WA KILIMO / MADAWA / FARMIGATION
TUWASILIANE KWA NAMBA
#****-***-*** whatsapp
#****-***-*** call / sms
♦free delivery kwa dar es salaam
♦Mikoani tunatuma kwa usalama na uhakika