Kifaa Cha Kuwekea Mbolea
TZS 340,000
2 years ago
Dar, Kisutu
Food & Agriculture
New
Negotiable
386
FERTILIZER APPLICATOR (KIFAA CHA KUWEKEA MBOLEA)
»Ni kifaa cha kuwekea mbolea mashambani chenye kurahisha kazi
»Unaweza kuweka kiwango unachotaka kitoke kuanzia 5gm__300gm
»Inaweza kubeba kilo 18--20 za mbolea kwa wakati mmoja
SASA ZINAPATIKANA
★★★★★★
KARIBUNI SANA
KARIBU KWA MAHITAJI YA PEMBEJEO ZA KILIMO NA HUDUMA ZA FARMIGATION
TUNAUZA
♣Sumu za kuua wadudu mashambani na majumbani
♣Sumu za farmigation
♣Dawa za kutibu na kuzuia ukunguu
♣ Mbolea aina zote kwa virutubisho vya mimea
♣Mbegu aina zote & vifaa vya kilimo
KWA USHAUR WA KILIMO / MADAWA / FARMIGATION
TUWASILIANE KWA NAMBA
#****-***-*** whatsapp
#****-***-*** call / sms
♦free delivery kwa dar es salaam
♦Mikoani tunatuma kwa usalama na uhakika