Mtego Wa Panya
TZS 2,000
2 years ago
Dar, Kariakoo
Food & Agriculture
New
Negotiable
624
MTEGO WA PANYA
»Ni mtego uliyotengenzwa kwa kuangamiza panya
Mtego wa panya :- Ni hatar kwa kuua na kuangamiza panya wa ;-
•majumbani
•mashambani
•kuhifadhia nafaka
•kwenye makazi
SIFA ZAKE
»huu kwa haraka
»hukausha panya
»panya hawatoi harufu wakifa
N;B
Unaufunga na kamba na kuning'iniza eneo / sehemu walipo panya
★★★★★★
KARIBUNI SANA
KARIBU KWA MAHITAJI YA PEMBEJEO ZA KILIMO NA HUDUMA ZA FARMIGATION
TUNAUZA
♣Sumu za kuua wadudu mashambani na majumbani
♣Sumu za farmigation
♣Dawa za kutibu na kuzuia ukunguu
♣ Mbolea aina zote kwa virutubisho vya mimea
♣Mbegu aina zote & vifaa vya kilimo
KWA USHAUR WA KILIMO / MADAWA / FARMIGATION
TUWASILIANE KWA NAMBA
#****-***-*** whatsapp
#****-***-*** call / sms
♦free delivery kwa dar es salaam
♦Mikoani tunatuma kwa usalama na uhakika