Mupaforce
TZS 25,000
2 years ago
Dar, Kisutu
Food & Agriculture
New
Negotiable
646
MUPAFORCE
»Ni kiuadudu chenye wigo mpana wa kuua na kudhibit wadudu kwa njia ya mguso na tumbo
MupaForce :- Ina uwezo mkubwa wa kuua wadudu wenye kunyonya na mabuu wanaokula majani
MupaForce :- Inadhibiti vitendo vya kuzaliana kwa mayai ya wadudu na hufanya kazi kwa haraka na hudumu kwa mda mrefu
★WADUDU WAUAO
»MupaForce Inadhibiti wadudu :-
:-Funza vitumba... :-Viwavi... :-chawa wekundu
:-vimatila... n.k
UJAZO WA MUPAFORCE
MupaForce inapatikana kwa ujazo wa
:-100mls.. :-250mls.. :-500mls.. :- 1ltr
KARIBUNI SANA
KARIBU KWA MAHITAJI YA PEMBEJEO ZA KILIMO NA HUDUMA ZA FARMIGATION
TUNAUZA
♣Sumu za kuua wadudu mashambani na majumbani
♣Sumu za farmigation
♣Dawa za kutibu na kuzuia ukunguu
♣ Mbolea aina zote kwa virutubisho vya mimea
♣Mbegu aina zote & vifaa vya kilimo
KWA USHAUR WA KILIMO / MADAWA / FARMIGATION
TUWASILIANE KWA NAMBA
#****-***-*** whatsapp
#****-***-*** call / sms
♦free delivery kwa dar es salaam
♦Mikoani tunatuma kwa usalama na uhakika