Passion Fruit (karakara)
TZS 20,000
1 year ago
Dar, Kisutu
Food & Agriculture
New
Negotiable
404
★PASSION FRUIT (KARAKARA)
»Ni passion yenye rangi ya njano yenye matunda makubwa
★SIFA ZAKE
»Matunda na shina hua makubwa
»Huzaa miezi 12 baada ya kupandwa
=Matunda yake hukomaa na kuivaa siku 80 baada ya ua kuchavusha
»Zinafaa kwa biashara
WASTANI KWA HEKA
1.5 kg
3m × 2m
N;B
*Zinafaa kwa wakulima wote wakubwa n wadogo
*Na wale wanaopenda kulima kwa ajili ya mbogamboga za nyumban ni nzuri kwa kuanzia
ZINAPATIKANA KWA KUANZIA GRAM
»10gm.. 25gm.. 50gm..
KARIBUNI SANA