Sul--force
TZS 10,000
2 years ago
Dar, Kisutu
Food & Agriculture
New
Negotiable
500
SUL--FORCE
»Ni kiuakuvu cha kudhibit ubwiri unga kwenye mazao
UbwiriUnga :- Ni ugonjwa wa kuvu unaoshambulia majani machanga.. maua na matunda
:- Ugonjwa huu usipodhibitiwa huweza kupunguza mavuno
UbwiriUnga :- huonekana wakati wa ukame ba hupungua kipindi cha mvua
:-Vimelea vya Ugonjwa huu hujificha kwenye majani machanga yaliyobanana na huenea kwa njia ya hewa
★DALILI ZA UBWIRIUNGA
»Majani yaliyoshambuliwa sana hujikunjakunja na hatimae huanguka
:-Maua yaliyoshambuliwa huashindwa kuzaa matunda
:-Matunda machache yaliyozaliwa hudumaa.. huanguka.. hupasuka na kuoza yakiwa machanga.
UJAZO WA SUL--FORCE
Sul--force inapatikana kwa ujazo wa :-
:-500gm... :-1kg
N;B
UbwiriUnga unga hua na vumbi la rangi ya kijivu na jeupe huonekana juu ya majani machanga.. matunda.. maua yaliyoshambuliwa
KARIBUNI SANA
KARIBU KWA MAHITAJI YA PEMBEJEO ZA KILIMO NA HUDUMA ZA FARMIGATION
TUNAUZA
♣Sumu za kuua wadudu mashambani na majumbani
♣Sumu za farmigation
♣Dawa za kutibu na kuzuia ukunguu
♣ Mbolea aina zote kwa virutubisho vya mimea
♣Mbegu aina zote & vifaa vya kilimo
KWA USHAUR WA KILIMO / MADAWA / FARMIGATION
TUWASILIANE KWA NAMBA
#****-***-*** whatsapp
#****-***-*** call / sms
♦free delivery kwa dar es salaam
♦Mikoani tunatuma kwa usalama na uhakika