Zachariah Health And Agriculture 🇹🇿
TZS 55,000
1 year ago
Mbeya, Uyole
Food & Agriculture
New
Negotiable
497
Jina langu naitwa Zachariah severin kutok Mbeya by profession ni Accountancy but same times ni mtaaramu wa Lishe tiba kupitia katika Kampuni pendwa ya kimataifa ambavyo imejikita katika kutibu na kutatua changamoto ya Afya upande wa watu na wanyama pamoja na matatizo ya Mashambani na shida zote izo zinaitaji utatutuzi kupitia Virutubish vya kampuni iitwayo NEOLIFE WORLD CO.LTD lakini sasambamba na hilo kupitia kampuni hii nimewez kuwasaidia Watu wengi kupona Magonjwa mengi ikiwemo Kisukali, Magonjwa ya Moyo, pressure ya kupanda na kushuka, mifupa, mgongo,kiuno,nyonga, vidonda vya Tumbo,kansa,shinikizo la damu, matatizo ya watoto Yote, matatizo ya ngozo yote,pia na Shambani Kama ukosefu wa rutuba katika mashamba,uzalishaji hafifu wa mazao na n.k na upande wa waanyama tuna virutubish sahihi vya kuwakinga na Magonjwa mbalimbal.kalibuni Sana WhatsApp number;****-***-***